NEWS: Hisia (@Hisiatz) ndani ya mtandao wa VEVO
Mapema wiki iliyopita soul singer Hisia kutoka Arusha ambaye amehit na nyimbo zake ambazo ni pamoja na Mawazo,Just For You na Gimme A Call amefanikiwa kujiunga na wasanii wachache ambao ni Gosby na...
View ArticleNEWS: CCM Serengeti wamtaka Mh Lowassa
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa akimshukuru Mjumbe wa halmashauri mkuu taifa kutoka Serengeti Patric Chandi Marwa huku mwenyekiti wa CCM Serengeti (kulia) Vicent Nyamasagi...
View ArticlePHOTO’S: Mwili wa marehemu MEZ B umepumzishwa katika makaburi ya WAHANGA, DODOMA
Pichani ni Mama mzazi wa Mez B akiwa ameshikiliwa na ndugu baada ya kuingia viwanja vya Mashujaa ili kutoa heshima za mwisho. Marehemu Mez B baada ya kuagwa na mashabiki wa mziki pamoja na ndugu jamaa...
View ArticleBACK 2 S.U.A “The Food Is Ready”
Its for you and your friends, Relax andHave Table Manners, Don’t be selfish yooh!, We Say “Sharing is Caring” So Tell your Friends To tell Their other Friends That The FOOD IS READY. The Food is for...
View ArticleJipatie bidhaa za APPLE COMPUTER kwa bei nafuu kutoka Apple MacBook TZ
MacBook Pro Processor: 2.5GHz intel corei5 Memory: 4GB Graphics: intel HD Graphics 4000 1024MB Storage: 500GB HDD Size: 13.3″ Price: 1.3M MacBook Pro with WITH RETINA DISPLAY Processor: 2.4GHz intel...
View ArticleNEWS: PRODUCER wa XO ya JOH MAKINI (@JohMakini) “SAPPY” afunguka usiyoyajua...
Producer Sappy ndiye Producer ambaye aliproduce ngoma Namba Moja kwenye Chart za 20 Bora za Mambo Jambo Radio Arusha kwa wiki iliyopita XO ya JOH MAKINI. Huyu ni kijana wa Kitanzania ambaye amejipatia...
View ArticleNEWS: ALI KIBA (@OfficialAliKiba) asema “CHEKECHA-CHEKETUA ni zaidi ya MWANA
Hit Maker wa Mwana ALI KIBA amesema kuwa ngoma yake Chekecha-Cheketua Itakuwa kali kuliko Mwana ambayo imefanya na Bado inafanya poa sana Afrika Mashariki. Akipiga Stori na Kipindi cha DUNDO cha Mambo...
View ArticleLEO NI SIKU YA KUZALIWA YA MDAU OTHMAN MICHUZI (@michuzijr2)
Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza...
View ArticleCHIKU K “NAMPENDA SANA CHID BEENZ NA TUMEYAMALIZA YA ZAMANI NIKO NAYE KWA...
Mwanadada Chiku Ketto a.k.a Chiku K Balaa ameamua kuweka wazi hisia zake alizonazo kuhusu kile anachokiona kinamtesa Aliyekuwa Member Mwenzake wa Kundi la LaFamilia.Akizungumza na Kipindi cha DUNDO cha...
View ArticleNEWS: FID Q (@FidQ) aeleza sababu za video ya BONGO HIP-HOP kuzuiliwa kwenye...
Kama Umeifuatilia na kuiangali Video ya Fid Q Bongo Hip-Hop Kupitia Account ya Director Nisher kwenye Youtube Basi utakuwa Shahidi kuwa Video hiyo Iliondolewa na Wamiliki wa YouTube Kitu ambacho watu...
View ArticleNEWS: MCT yaahidi ushirikiano na bloggers, ubalozi wa Marekani waunga mkono
Baadhi ya bloggers na wageni waalikwa walioshiriki katika hafla ya kihistoria ya TBN iliyokutanisha bloggers kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani. Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
View ArticleNEWS: DJ CHOKA kuitambulisha NITALALA UZEENI tarehe 13.3.2015
Hugoline Martin Mtambachuo au unaweza kumuita DJ CHOKA aka Mr Appetite baada ya kukaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja bila kuendelea na mix tape zake, mwaka huu amehamua kurudi tena. Dj Choka anasema...
View ArticleNEWS: Mwanahabari ajitolea kupambana na mauaji ya Albino
Balozi wa kujitolea wa kampeni ya mapambano dhidi ya mauaji ya albino, Henry Mdimu (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya jhabari. Kampeni hiyo inajulikana kwa jina la Imetosha. Mchoraji maarufu na...
View ArticlePHOTO’S: Rais JAKAYA KIKWETE azindua studio mpya za AZAM TV “UHAI PRODUCTIONS...
Wageni waalikwa wakiingia kwenye studio hiyo mpya iliyozinduliwa leo Mwigizaji wa Ze Comedy Wakuvanga akiuza sura kwenye camera ya Choka, Mwasiti Barnaba MC wa shughuli nzima alikuwa ni Taji Liundi...
View ArticleNEWS: Vanessa Mdee’s (@VanessaMdee) signed to Kult Records
Vanessa Mdee’s “Come Over” signed to Kult Records and out on pre-release on Beatport for the Winter Music Conference 2015 in Miami, USA. March is that time of the year when everybody that is dealing...
View ArticleVOTE FOR Shawnee Reid (South African Model & Entrepreneur)
Shawnee Reid South African Model & Entrepreneur. Please vote for me (@shawnee_reid) to help achieve my dream to be in sports illustrated… 1. Open the link 2. Type in security code and click on the...
View ArticleNEWS: Washindi wa AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS #AMVCA2015 wako hapa…
Best Movie 2014: WINNER is OCTOBER 1 Best Actress in a drama: WINNER is KEHINDE BANKOLE Industry Merit Award: WINNER is AMAKA IGWE New Era Award: WINNER is 30 DAYS IN ATLANTA Trailblazer Award: WINNER...
View ArticleMaria Sarungi (@MariaSTsehai): AS A WOMAN REMBEMBER
Twitter: @chokadj Instagram: @chokadj OR @djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleNEWS: Msaniii EDDY KENZO kutoka UGANDA amempiga muandaaji wa tamasha
Hit Maker wa Sytya Loss Toka Uganda Eddy Kenzo amempiga Mtu tena. Kama una kumbukumbu nzuri Mwaka jana eddy alimpiga Mtangazaji wa Kituo kimoja cha Radio Nchini Uganda Isaac Katende Mbele ya Mkutano...
View ArticleKALA JEREMIAH (@kala0444) anarudi tena na NCHI YA AHADI huku akiwa na R.O.M.A...
#NCHIYAAHADI @kalajeremiah Ft @roma2030 Coming Soon.. kwa habari zaidi kuhusiana na project hii follow @nchi_ya_ahadi Twitter: @chokadj Instagram: @chokadj OR @djchokamusic Download DJChokaMusic...
View Article