Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

NEWS: CCM Serengeti wamtaka Mh Lowassa

$
0
0

photo 1

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa akimshukuru Mjumbe wa halmashauri mkuu taifa kutoka Serengeti Patric Chandi Marwa huku mwenyekiti wa CCM Serengeti (kulia) Vicent  Nyamasagi akitabasamu. Uongozi huo wa CCM Serengeti ulikwenda nyumbani kwa Mh Lowassa Monduli kumuomba atangaze nia kuwa urais kupitia Chama hicho.

photo 3


Twitter: @chokadj

Instagram: @chokadj OR @djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles