Mapema wiki iliyopita soul singer Hisia kutoka Arusha ambaye amehit na nyimbo zake ambazo ni pamoja na Mawazo,Just For You na Gimme A Call amefanikiwa kujiunga na wasanii wachache ambao ni Gosby na Vanessa Mdee na kuwa Msanii wa tatu nchini kuingia katika mtandao wa video wa kimataifa vevo, hii imekua nguvu kubwa na team effort kutoka kwa Hisia na manager wake John Blass ambaye anakua supported na team yake kutoka Fresh120Media, tumepata support kubwa sana kutoka nyumbani na baada ya kutoa Gimme A Call kumekua na mwamko mkubwa sana kutoka nje ya nchi,tunajipanga zaidi kutemmgeneza vitu ambavyo vitawafurahisha fans wa Hisia popote walipo,tunajiandaa kutoa wimbo mpya hapa mwezi march,kwa sasa Hisia fans mpango ni kuingia https://www.youtube.com/channel/UC8hj76P382cHRFQ7QwJMgsg na kusubscribe,tuna mengi yanakuja kwaajili yenu na tunashukuru sana kwa support ya media na ya fans kwani yote yasingewezekana bila ninyi
Twitter: @chokadj
Instagram: @chokadj OR @djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE