Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

NEWS: Msaniii EDDY KENZO kutoka UGANDA amempiga muandaaji wa tamasha

$
0
0

eddy-kenzo-sitya-loss-791x445

Hit Maker wa Sytya Loss Toka Uganda Eddy Kenzo amempiga Mtu tena.

Kama una kumbukumbu nzuri Mwaka jana eddy alimpiga Mtangazaji wa Kituo kimoja cha Radio Nchini Uganda Isaac Katende Mbele ya Mkutano wa Waandishi wa Habari, Watangazaji, Djz na Wasanii Mkutano ambao ulikuwa Maalum kwa ajili ya Kujadili jinsi ya Kuukuza Zaidi Muziki wa Uganda, Sasa Jamaa ameendelea Kutoa Dozz kwa Mtu yeyote ambaye Anatokea Kumzingua na Safari hii amempiga Mmoja wa Waandaaji wa Tamasha Kubwa la NAMOTOVU Lililofanyika ENTEBE.
Jamaa huyo aitwaye Ronnie Nkalubo alitokea Kupewa Kichapo na Eddy Kenzo baada ya Kupita na Kugusa Wire mmoja Unaonganisha Sauti kutoka kwa Dj kwenda kwenye Contol Mashine ambapo alikwaza Show ya Eddy kitu ambacho kilimuuzi Jamaa na Kumzibua baada ya Kumaliza Show yake.

ENDELEA NA STORY HII HAPA>>>> http://vmgafrica.com/hit-maker-wa-sitya-loss-eddy-kenzo-toka-uganda-ampiga-muandaaji-wa-tamasha/


Twitter: @chokadj

Instagram: @chokadj OR @djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles