Siwezi kufanya wimbo na DIAMOND mpaka tutakaposhindana kwenye jukwaa moja –...
Star na Mkongwe wa Bongo Flava, Juma ‘Nature’ Kiroboto, amesema hawezi kufanya wimbo wa Pamoja na msanii Diamond Plutnumz mpaka pale watakaposhindana kwenye jukwaa moja ili kubaini nani mkali kati...
View ArticleDIR HASCANA: Nimeamua wakati huu kusimama kama Hascana lakini sina ugomvi na...
Muongozaji wa video Tanzania, Hascana amefunguka kuhusu tetesi zilizoenea kwamba amefukuzwa kazi kwenye studio za Wanene entertainment ambazo zilikuwa zinamsimamia katika kazi zake za uongozaji wa...
View ArticleMfalme wa muziki wa taarabu MZEE YUSUPH ameamua kuachana na mziki na kumrudia...
Aliyekuwa Mfalme na gwiji wa muziki wa taarabu Afrika mashariki MZEE YUSUF ameamua kuachana na mziki na kumrudia Allah. Mzee Yusuf ametangaza Nia yake hiyo leo ijumaa tarehe 12-08-2016 Muda mfupi...
View ArticleDULLY SYKES: Mimi nina sikio la muziki, HARMONIZE yuko tofauti, kwanza...
Msanii mkongwe wa Bongo fleva Tanzania,Dully Sykes amesema haoni kama Harmonize anafanana na Diamond kwenye kuimba kama watu wengi wanavyosema. Akihojiwa kwenye kipindi cha Friday night live cha East...
View Article(News) Rais Magufuli aisifia ‘SIZONJE’ ya Mrisho Mpoto, ategua fumbo la...
Utunzi mahiri wa mashairi na ughani uliotukuka wa Mrisho Mpoto, umeligusa sikio la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameeleza kuwa shabiki mkubwa wa kazi za...
View ArticleDULLY SYKES: “WCB, mimi ni nyumbani, sijasaini mkataba na wala hatuna hizo plan.
Msanii mkongwe wa bongo fleva nchini Dully Sykes ambaye ametoa wimbo wake mpya hivi karibunu ambao unaitwa Inde na kumshirikisha msanii Harmonize ameweka wazi kuwa hana mpango wowote wa kujiunga na...
View Article(Video) WEMA SEPETU awajibu mashabiki wanaodhania bado anaugomvi na PETIT MAN.
Hapo nyuma kidogo kulikuwa na ukimya kati ya Wema Sepetu na Petit Man na mashabiki wakaanza kuvamia social network na kuandika vitu vingi wanavyovijua wao na wengine kuliita BEEF kati ya Wema na...
View Article(News) BASATA yaipongeza EATV (@eastafricatv) kwa kuanzisha #EATVAwards
Afisa habari wa BASATA Bw. Aristides Kwizela (wa kwanza kulia) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa EATV, Roy Mbowe na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Bi. Nandi...
View Article(News) Vitambue Vipengele 10 vya tuzo za EATV (@eastafricatv) #EATVAwards2016
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Mkuu wa masoko wa kituo EATV, Roy Mbowe alisema tuzo hizo zitakuwa na vipengele 10 zitakazohusisha muziki, filamu na tuzo moja ya heshima....
View ArticleJINSI YA KUINGIZA PESA KUPITIA ONLINE
Ulimwengu wa sasa umekuwa wa kiteknolojia sana na mambo mengi yanafanyika katika mitandao ya kijamii. Wengi wanasoma shule na kufanya kazi katika mitandao lakini wakati mwingine mitandao tukiitumia...
View ArticleMarehemu BI SHAKILA SAID HAMIS atakumbukwa kwa nyimbo hizi alizotuachia.
Bi Shakila Said mwanamuziki mkongwe wa taarab amefariki ghafla muda mfupi uliopita mara baada ya kumaliza kuswali nyumbani kwake MBAGALA CHARAMBE. Chanzo cha kifo hicho ni kwamba alianguka ghafla na...
View Article(Photo’s) Mtanzani JACK PEMBA ameshinda tuzo ya HUMANITARIAN Uganda...
Humantarian award For the selfless person who gives alot to society without expecting anything in return including Sports Health Food Clothing Churches and Mosques on Uganda Twitter:...
View Article(Video) E-FM Redio (@Efm937) Yazindua Tamasha la MZIKI MNENE
Twitter: @chokadj@djchokatv Instagram: @djchokatv@chokadj@djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleGHETTO LOVE ndio jina la ALBUM mpya ya MAPACHA (Maujanja Saplayaz)
Kundi la hip hop la Mapacha aka Maujanja Saplayaz linatarajia kuachia album mpya iitwayo ‘Ghetto Love.’ Akiongea na kipindi cha Extra Fleva kinachoendeshwa na mtangazaji Ergon Elly, member wa kundi...
View ArticleMsanii wa kike ‘PINK’ Atangaza kutoa AUDIO zake zote BUREEE.
Msanii wa kike ‘Pink’ Atangaza kutoa audio zake zote bure kote Kwenye mitandao mpaka hapo atakapoona anaweza kuanza kuuza kazi zake Kwa muda usiojulikana. Msanii wa kike chipukizi Pink ametangaza...
View ArticleTHE INDUSTRY WATAMBULISHA APP YAO
Label ya music Tanzania The industry ambayo inamiliki wasanii kama wildad,rosa ree,selina pamoja na kundi la navy kenzo yatambulisha app yao ambayo itasaidia mashabiki wao kupata info zote kuhusu...
View ArticleMsanii wa Nigeria, YCEE kutua TANZANIA Jumapili hii 28th Aug 2016
YCEE ambaye pia hufahamika kwa jina la Oludemilade Martin Alejo, anatarajiwa kufika jijini Dar es salaam tarehe 28th Agosti 2016 , ikiwa ni sehemu ya ziara yake yenye lengo la kutangaza nyimbo zake...
View ArticleWasanii wa TANZANIA ughaibuni wapaza sauti kupinga maandamano ya UKUTA
Wananchi Tusikubali kufanywa chambo cha kuvunja amani tuliyoijenga Wasanii wa kitanzania wanaoishi na kufanyia kazi zao nje ya nchi au ughaibuni,wametoa wito kwa wananchi wa Tanzania walio nyumbani na...
View Article(News) Msanii AIKA kutoka NAVY KENZO yuko mbioni kuisaka PHD
Msanii anayeunda kundi la Navy kenzo Aika Marealle maarufu kama AIKA anafikiria kurudi tena shule ili kuongeza elimu zaidi,Msanii huyo ambaye kwa sasa ana degree ya biashara ambayo alisomea India...
View Article(News) NAHREEL (@Nahreel) AMWAGA SUMU MPYA THE INDUSTRY
Mtaarishaji bora wa music nchini Tanzania 2015-2016 EMMANUEL MKONO Maarufu kama NAHREEL sasa yupo mbioni kuibua vipaji vipya katika tasnia hiyo ya utaarishaji wa muziki Nchini Tanzania. Mtaalishaji...
View Article