Bi Shakila Said mwanamuziki mkongwe wa taarab amefariki ghafla muda mfupi uliopita mara baada ya kumaliza kuswali nyumbani kwake MBAGALA CHARAMBE. Chanzo cha kifo hicho ni kwamba alianguka ghafla na alikuwa haumwi.
Marehemu Bi Shakira atakumbukwa kwa wimbo maarufu kama NIKIMKUMBUKA WANGU MARIDHIYA, MACHO YANALIA MOYO UNACHEKA. Habari zimethibitishwa na mwanae mpaka sasa mwili upo nyumbani
Imetolewa na ADDO NOVEMBER
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania
HIZI NI KATI YA KUMBUKUMBU ALIZOTUACHIA BI SHAKIRA
MACHO YANALIA MOYO UNACHEKA
KIFO CHA MAHABA HAKINA AIBU
MAPENZI YANANITATIZA
Twitter: @chokadj@djchokatv
Instagram: @djchokatv@chokadj@djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE