Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

(News) Msanii AIKA kutoka NAVY KENZO yuko mbioni kuisaka PHD

$
0
0

13741445_270091566698954_73541619_n

Msanii anayeunda kundi la Navy kenzo Aika Marealle maarufu kama AIKA anafikiria kurudi tena shule ili kuongeza elimu zaidi,Msanii huyo ambaye kwa sasa ana degree ya biashara ambayo alisomea India amesema hayo mara baada ya kupewa nafasi ya kutoa speech fupi kwa wanafunzi wa sekondari ya mwendakulima iliopo kahama walipofanya ziara na wasanii wengine ilikuweka msisitizo kwenye elimu kabla ya show ya fiesta iliyofanyika usiku katika viwanja vya kahama.

“Mimi ni msanii na nimesoma masomo ya biashara, nina degree lakini pia nitasoma zaidi kupata Masters hadi PhD. Sanaa ni biashara na kusoma kunakuongezea maarifa, naomba muwaheshimu walimu wenu na wazazi wenu” alisema AIKA

file:///Users/Nahreel/Downloads/Clouds%20Fm%20(@cloudsfmtz)%20•%20Instagram%20photos%20and%20videos.htm

Aidha msanii huyo amewashukuru mashabiki pamoja na wakazi wa Kahama kwa mapokezi yao p[amoja na ushirikiano waliouonyesha

Pia anawakumbusha mashabiki na wapenzi wa muziki mzuri kuwapigia kura Navy kenzo kwernye tuzo za African Youth Choice Award kwa kupitia link ya http://www.africayouthchoiceawards.org/vote/best-song-http://www.africayouthchoiceawards.org/vote/best-song-by-a-duo-group-or-featu


Twitter: @chokadj@djchokatv

Instagram: @djchokatv@chokadj@djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Latest Images

Trending Articles



Latest Images