HII NDIYO SABABU YA FID Q (@FidQ) KUFANYA VERSE FUPI KWENYE #WALKITOFF
Baba lao FARID KUBANDA ,FIDQ amesema sababu iliyofanya kuchana #virses fupifupi kwenye ngoma yake mpya #walkitoff ni kwasababu alitaka mashabiki wainjoy zaidi muziki wake na hivyo wangehitaji kitu cha...
View ArticleAmiry Mill aanza kufanyia Show wimbo wake aliouimba na Dogo Asley wasichana...
Msanii wa Bongo Fleva Amiry Mill ambaye kwasasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Nikupeti Peti aliyomshilikisha Membar wa kundi la Yamoto Bend Dogo asley, ameanza kufanya show mbali mbali baada ya...
View ArticleTAMASHA LA PASAKA MWAKA HUU KUFANYIKA MACHI 28 WILAYANI KAHAMA
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Tamasha la Pasaka litakalofanyika Mkoani...
View ArticleNAY ASEMA BASATA ITABIDI WAJITAFAKARI KABLA YA KUUFUNGIA “SHIKA ADABU YAKO”.
Nay wa Mitego Leo ameachia ngoma yake mpya inayoitwa “shikaadabuyako”ambayo kama kawaida yake amewachana Watu wengi ndani ya mistar yake. Mwaka uliopita ROMA alitoa wimbo wa #VIVAROMAVIVA Ambao...
View ArticleMwigizaji wa Bongo Movie RIYAMA ALLY ‘MKEGANI’ awashukia maproducer...
Msanii mahiri wa filamu Tanzania Riyama Ally anayetambulika kwa sasa kama malkia wa uswazi au Mkegani amewalalamikia watayarishaji wa filamu nchini kuwa wanachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya...
View ArticleCall For Artists 2016
Karibu Cultural Promotions Organization in collaboration with Legendary Music Entertainment and Promotions Company Limited are organizing the 3rd edition of the “Karibu Music Festival”, an annual...
View ArticleRIP JONI WOKA, Hizi ndio baadhi ya kazi zake za kisanii alizotuachia…
Marehemu Michael Denis a.k.a Joni Woka enzi za uhai wake Akiongea kwa simu kaka wa marehemu Omari Milay, amesema walipigiwa simu alfajiri ya leo na kujulishwa kuwa Michael Denis aliyejizolea umaarufu...
View ArticleRatiba ya kuaga mwili wa marehemu Michael Denis Mhina (Joni Woka)
Kuaga mwili siku ya kesho (jumatano) muhimbili hospital kuanzia saa 3:00 asubuhi ikitangulia ibada halafu kuaga mwili na safari ya kuelekea Tanga itaanza. Tanga mjini nyumbani kwao Sahare mwili...
View ArticleNAY WA MITEGO: SIKUSEMA WEMA HANA MIMBA, NILIULIZA TU SWALI.
Nay wa Mitego amesema mashabiki wamemcharukia kuwa ana mdomo mbaya baada ya taarifa kuwa huenda mimba ya Wema Sepetu imetoka kulingana na post ya mpenzi wake Idriss sultan. Nay amesema kwenye ngoma...
View ArticleVIDEO: Marehemu John Woka alivyoagwa Dar es Salaam
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleSoma hapa KALAMU ya NIKKI WA PILI (@nikkwapili)
KUFELI AU KUFAULU…KWA MWANAFUNZI HAKUTOKANI NA UWEZO WA KIAKILI… Tofauti kubwa kati ya mwanafunzi anaye faulu na anaye feli ni msukumo wa kusoma alio nao mwanafunzi husika, anaye faulu anakuwa na...
View ArticleKesi iliyokuwa ikimkabili msanii wa Bongo Fleva MO MUSIC sasa mahakama imetoa...
Kuanzia mwishoni mwa mwaka 2015 msanii wa bongofleva Mo Music mmiliki wa single ya ‘skendo’ hakuwa na furaha kwa sababu alipata taarifa za kushtukiza kutoka Mahakamani Dodoma kwamba anashtakiwa kwa...
View ArticlePICHA: Mwakilishi wa ubalozi wa Nigeria, Bibi ABIOLA DELUPE aitembelea E-FM...
Bibi Abiola Delupe kizungumza jambo na Mkurugenzi wa E-fm Francis Ciza (DJ Majey) Bibi Abiola Delupe kibadilishana mawazo na viongozi wa E-fm Bibi Abiola akisalimiana na mmoja wa watangazaji wa E FM...
View ArticleBaada ya Q. CHILLAR kusema DIRECTORS wa ndani hawana uwezo wa kufanya nao...
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Hanscana amesema Q Chief ana stress za maisha, kwani kwa muda mrefu yupo kwenye game na ameshindwa kufanya chochote. “Ye...
View ArticleNIKKI WA PILI (@nikkwapili) atoa uzamini wa kusomesha wanafunzi WAWILI wa...
Muda mfupi uliopita msanii anayewakilisha kundi la Hip Hop nchini WEUSI alipost kitu kizuri kwenye account yake ya Instagram maalumu kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha 4. NANUKUU: HATA KIDOGO KINA...
View ArticleSHILOLE ALIENDA SOUTH KUSHOOT SCENE YA KITANDANI TU.
Itakumbukwa kabla ya kuachiwa kwa video ya Shilole Nyang’anyang’a ilielezwa kuwa alikua #South kushoot video hiyo jambo liliongeza hamu ya mashabiki kuingojea. Sasa Kuna taarifa kutoka kwa Watu...
View ArticleKAPUMZIKE KWA AMANI MZEE KASSIM MAPILI.
Ni mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kassim Mapili amekutwa amefariki nyumbani kwake Tabata Matumbi. Inasemekama kifo chake kimejulikana usiku huu baada ya majirani kutomuona siku mbili nzima na...
View ArticleVurugu Karimjee: Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar Es Salaam (Video)
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleDIRA YA DUNIA JUMATATU 29.02.2016
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleMRISHO MPOTO kuzindua video ya wimbo SIZONJE kwa kuwatia moyo wanafunzi...
Muimbaji maarufu wa mashairi nchini, Mrisho Mpoto Jumamosi Machi 5, 2016 atazindua video ya wimbo wake mpya Sizonje katika ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Akizungumza na mwandishi...
View Article