Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

SHILOLE ALIENDA SOUTH KUSHOOT SCENE YA KITANDANI TU.

$
0
0

1171926_726419434161049_1732915493_n

Itakumbukwa kabla ya kuachiwa kwa video ya Shilole Nyang’anyang’a ilielezwa kuwa alikua #South kushoot video hiyo jambo liliongeza hamu ya mashabiki kuingojea.

Sasa Kuna taarifa kutoka kwa Watu waliopo ndani ya industry ya muziki zikieleza kuwa video yote ya Shilole ilifanyika hapa bongo maeneo ya #kigamboni na siyo kama alivyosema Shilole kuwa aliishoot SA.

Shilole amepatikana kujibu hilo na ameseweka wazi kuwa video ile ilifanyika hapa bongo isipokuwa vipande(scene)zile tu anazoonekana akiwa kitandani.(kama kwenye picha hapo juu☝☝☝ Hii inamaanisha Shilole alikwenda SOUTH kushoot scene za kitandani tu za video hiyo ila nyingine zote zmefanyika hapa bongo.

Cc #leproducer @graysongideon


 

Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles