Muda mfupi uliopita msanii anayewakilisha kundi la Hip Hop nchini WEUSI alipost kitu kizuri kwenye account yake ya Instagram maalumu kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha 4.
NANUKUU:
HATA KIDOGO KINA REHEMA…NATOWA NAFASI MBILI MOJA YA MSICHANA NA MOJA MVULANA…WANAO TOKA FAMILIA DUNI…LAKINI WAMEPATA D NNE….KATIKA MTIHANI WAO WA FORM 4…UZAMINI WA KUSOMA CERTIFICATE MPAKA DIPLOMA…..KATIKA CHUO CHA.MLIMANI.SCHOOL OF PROFESSIONAL STUDIES………UNACHOTAKIWA KUFANYA……NIANDIKIE PAGE MOJA……KUHUSU “Blue”…..vile unaelewa wewe…..nitumie kwa email wapilinick@gmail.com