Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all 784 articles
Browse latest View live

Mh Lowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000

$
0
0

3

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015

5

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge a Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipokea fomu za udhamini za CCM baada ya ,kujazwa na wananchama wa CCM wilaya ya Geita, kwenye ukumbi wa CCM wilayani humo Juni 8, 2015. Mheshimiwa Lowassa, amedhaminiwa na jumla ya wanachama 3,000 wilayuani hapo. (Picha na K-VIS MEDIA)

6 7

Waziri Mkuu a zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Losassa, akiwaaga wananchi na ana CCM waliofika kumdhamini kwenye ofisi za CCM wilaya ya Chato Juni 8, 2015.


MAPENZI YAMEROGWA ya WEMA SEPETU (@wema_sepetu) iko madukani kote Tanzania nzima

$
0
0

Untitled

Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima….unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director  Aunty Ezekile alivyofanikisha kazi yake??basi usichoke kuangalia mirindimo ya  Riyama na Faudhia walivyomtoa ndani Hemedy PHD bila kuaga baada ya kumfukuza mkewe fontana…..utakipenda kipondo alichopewa Fontana na  Wema Sepetu akishirikiana na mumewe Treze ni balaaaa humo ndani……

Imetoka http://www.bongomovies.com


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Timu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia kwa upande wa wanawake

$
0
0

10641063_998629280155737_7084132174484504722_n

Timu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia kwa upande wa wanawake yanayoendelea nchini Canada, kwa kukubali kipigo cha bao moja kwa yai viza kutoka kwa Ufaransa kwenye mtanange uliopigwa hapo jana.

Takriban dakika 29 tu za mchezo huo zilitosha kwa mwanadada Eugénie Le Sommer kupeleka msiba kwa timu ya England umbali wa yadi 20 tu.

Matokeo haya yanaendeleza ubabe wa taifa la Ufaransa kwa upande wa soka la wanawake, ambapo takribani miaka 41, England haijafanikiwa kuwashinda wapinzani wao hao.

Na katika viwanja vingine Hispania ilicheza dhidi ya Costa Rica,matokeo ni.moja moja…. Nayo Colombia ilivaana na Mexico, katika kipute hicho Colombia na Mexico nayo, moja moja. Na hatimaye Brazil walifumania nyavu mara mbili na korea ya kusini waliondoka kichwa chini.

IMETOLEWA NA http://www.bbc.com/swahili/


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Msanii JOSE CHAMELEONE (@JChameleone) safari hii anakuja na #BWERERE

$
0
0

cam

Msanii mkongwe kutokea nchini UGANDA muda mfupi uliopita kupitia account yake ya Instagram ameshare na sisi picha ambayo inahashiria ujio wa wimbo wake mwingine mpya alioupa jina la BWERERE.

Mimi na wewe hatujui alichokiimba humo ndani wala anamaanisha nini hii BWERERE kwahiyo tusubiri tuone na wimbo utakapotoka nitakutafutia na kukuwekea hapa ili wadau wangu tufaidi Ubwerere huo


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

PHOTO’S: Kinywaji cha TWIST chazinduliwa leo DAR ES SALAAM

NEWS: Waliokufa kutokana na MERS sasa wamefika 18

$
0
0

150614142227_south__korea__mers_640x360_bbc_nocreditPICHANI: Watoa huduma za afya nchini Korea Kusini wakijikinga na maambukizi ya ugonjwa wa MERS uliosababisha vifo vya watu 18

Korea Kusini imesema watu watatu wamefariki duniani kutokana na ugonjwa wa Middle East Respiratory Syndrome au MERS na kufikisha idadi ya watu 18 waliokufa kutokana na ugonjwa huo.

Zaidi ya watu mia na hamsini wamegundulika kuambukizwa ugonjwa wa MERS, huku wizara ya afya nchini humo ikitangaza wagonjwa wapya wanne Jumanne.

Mlipuko wa MERS ulioanza mwezi Mei ni mlipuko mkubwa zaidi kuwahi kutokea nje ya Saudi Arabia.

Habari hii imetoka BBC SWAHILI


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Sauti Sol (@SautiSol) Nominated for Best Group & Best Song (SURA YAKO) at 2015 MTV Africa Music Awards (MAMA)

$
0
0

BEST GROUP BEST SONGKenyan group: Sauti Sol (Best African Act 2014 MTV EMA Winners) has been nominated at the 2015 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 (MAMA) in two categories: Best Group in Africa and Best Song (SURA YAKO). The big news coincides with Sauti Sol’s big win at Tanzania’s prestigious Kilimanjaro Awards (Saturday 13th June) for Best Song in East Africa with SURA YAKO. The group just returned to Kenya after successfully concluding a two-week American Tour dubbed #SautiSolRoad2BET (which followed Sauti Sol’s BET Awards 2015 nomination for Best International Act – Africa). 

The MAMA nominations were announced on Thursday 11th June at a star-studded reception at Harem, Johannesburg, South Africa attended by a host of nominees, artists, celebrities and media. Celebrating the extraordinary evolution of African achievement, this year’s MAMA recognises contemporary artistes and trailblazers in a range of music and lifestyle categories including Song of the Year. A total of 70 nominees were revealed at the event, across 13 different categories. Speaking on new MTV nomination, Sauti Sol members asserted, “We are honoured to be nominated as the Best Group in Africa, especially in the wake of completing production of our upcoming third album: Live and Die in Afrika to be released in 2015. We are very happy to see SURA YAKO nominated as Africa’s Best Song – it’s viral #LipalaDance brought us close to our fans across Africa, and we continue to get feedback from around the globe everyday. We thank you all for the love and support!”

The winners for the MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 will be revealed during the live TV broadcast on 18th July. The ceremony will take place at the Durban International Convention Centre (Durban ICC), KwaZulu-Natal, South Africa on the the same day and will broadcast live across Africa on MTV Base (DStv channel 322), MTV (DStv channel 130) and BET (DStv channel 129) at 21:00 CAT. The show will also be transmitted worldwide on partner stations and content platforms including BET International from 18th July, 2015.

How to vote for Sauti Sol for Best Group in Africa and Best Song (Sura Yako) at MAMAhttp://mama.mtv.com/voting/ 

 EDITOR’S NOTES:

  • Sauti Sol has won a 2015 Kilimanjaro Award for Best East African Song (SURA YAKO).
  • Sauti Sol has also been nominated at BET Awards 2015 as Best International Act – Africa. They will be attending the star-studded ceremony broadcasting live from the Nokia Theatre on Sunday, June 28th 2015 from 5:00-8:00 pm/PST.
  • In 2014 Sauti Sol were the first Kenyan Act to win the coveted MTV EMA Best African Act Award. They have also been nominated for an MTV EMA Best Worldwide Act.

Follow the conversation via #‎SautiSol4MAMA #MTVMAMA2015 #LiveandDieinAfrika

  

MANAGEMENT/BOOKINGS:

Marek (Sauti Sol Manager)

+ 254 703 421 301 

marek@sauti-sol.com

 

Anyiko Owoko (Sauti Sol Publicist)

+254 721 368 983

anyiko@sauti-sol.com


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Unaambiwa hii ndio nchi ambayo haijafanya mitihani ya kidato cha nne ndani ya miaka 25

$
0
0

150616131710_mtihani_wa_kwanza_somalia_katika_miaka_25_624x351_bbc_nocredit

Zaidi ya wanafunzi elfu 70 walifanya mitihani ya kidato cha nne katika maeneo ya kusini na kati mwa Somalia, ikiwa ni mitihani ya kwanza ya kitaifa katika kipindi cha miaka 25.

Mitihani hiyo itaendelea kwa muda wa siku tano zijazo.

Katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu, vituo 11 vilianzishwa kuwawezesha watahiniwa kufanya mitihani.

150616132047_mtihani_wa_kwanza_somalia_katika_miaka_25_624x351_bbc_nocredit

Elimu ni mojawapo ya sekta zilizoathirika vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoanza nchini Somalia mwaka wa 1991.

Tangu kusambaratika kwa serikali kuu nchini Somalia, mitaala mbali mbali imetumika katika shule na kufunzwa katika lugha tofauti tofauti.

Sasa wizara ya elimu inasema imechukuwa hatua za kuunganisha mitaala hiyo na kuhakikisha kuwa wanafunzi kote nchini wanafanya mtihani mmoja wa kitaifa.

Licha ya pingamizi kutoka kwa makundi mbali mbali yaliyoyounda mitala hiyo katika shule za kibinafsi nchini Somalia, serikali iliidhinisha kufanyika kwa mitihani huu.

Waziri wa elimu wa Somalia Khatra Bashir Ali ambaye alikuwa miongoni mwa maafisa waliosimamia mitihani hiyo, alisema nchi hiyo ina mengi ya kufanya katika ulimwengu wa sasa unaoegemea mfumo wa digitali.

Wengi wa wanafunzi waliofanya mitihani hiyo walikuwa na furaha.

Stori hii inaendelea hapo>>> BBC SWAHILI


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


PICHA: DIAMOND (@diamondplatnumz) apewa zawadi ya gari kutoka kwa mchumba wake, unajua ni gari gani? hebu itizame hapa

NEWS: Msanii BEN POL anasurika na kifo cha maji, huu ndio ujumbe aliouandika baada yakutoka salama

Kutoka INSTAGRAM hizi ndizo picha DIAMOND alizoshare na sisi baada ya kupokelewa LAGOS na msanii KCEE

PICHA ziko hapa za NANA MEDIA TOUR NIGERIA anayoifanya DIAMOND (@diamondplatnumz)

PICHA: KIZAA ZAA BAGAMOYO ALIYEDHANIWA MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA!

$
0
0

baadhi ya wakazi wa majani mapana ,Bagamoyo wakiwa msibani na kustushwa kuwa maiti yu hai Tafarani Msibani Turubai limefunguliwa hakuna msiba tena aliyedhaniwa kafa yu hai Umati wa watu wajazana katika timbwili la msiba maeneo ya majani mapana ,Bagamoyo wanandugu wa Bi.Hatujuani wakiwa msibani

NGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL – AUSTRIA

$
0
0

Ngoma Africa Band on action Ngoma Africa band ngoma-africa_wordpress-34 Tubingen Festival 2014 ngoma-africa_wordpress-36 Tubingen Festival 2014

Mzimu wa Ngoma Africa band kuibukia Mamling Festival Jumapili 5 Julai 2015-Austria
 
Mining City,Austria,
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao nchini Ujerumani,inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival  siku ya jumapili 5 Julai 2015 alhasiri katika viwanja vya Schlosspark,Mamling 3, Mining nchini Austria. watayarishaji wa onyesho hilo wameitaja bendi hiyo ya Ngoma Africa band kuwa muziki wake ni sawa na mzimu unawapeleka puta washabiki katika maonyesho ya kimataifa na washabiki nchini Austria wanameisubiria kwa muda wa mwaka mzima. Kikosi kazi hiko chenye tabia ya kuwatia kiwewe washabiki wake kila waendako na kujizolea washabiki lukuki kote duniani,kinaupeleka muzimu wa Bongo Dansi nchini Austria .Ziara ya bendi hiyo imeingiliana na mwezi wa Ramadhani wakati baadhi ya wanamuziki wapo katika swaumu lakini
watatekeleza wajibu wao.
Ngoma Africa band iliyoanzishwa mwaka 1993 na kiongozi wake Ebrahim Makunja almaarufu Kamanda Ras Makunja ni bendi iliyobatizwa majina mengi ya kiusanii kutoka kwa washabiki majina kama FFU-Ughaibuni, “Watoto wa Mbwa”,Viumbe wa ajabu “Anunnaki Alien’ na mengi mengineyo. ni bendi yenye utajiri ya wanamuziki waliojaa vipaji, na kwa sasa inatamba na nyimbo zake mbili
mpyakatika CD ” La Mgambo” za kumuaga Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda .
Sikiliza at
http://www.soundcloud.com/issamichuzi/la-mgambo-jk-anamaliza-kazi
http://www.soundcloud.com/issamichuzi/jk-tunatamba-nae
wasiliana nao at ngoma4u@gmail.com

Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WAJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KULA IFTAAR YA PAMOJA

$
0
0

2G2A2166

Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo mwenge, Dar Es Salaam na kula Iftaar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na kutoa misaada mbali mbali.
Kituo hicho ambacho kina jumla ya watoto yatima 100 kuanzia wachanga mpaka miaka 16 na wahudumu 10.

2G2A2178 2G2A2199 2G2A2206 2G2A2222 2G2A2232 2G2A2243 2G2A2263 2G2A2272 2G2A2279 2G2A2295 2G2A2302 2G2A2315 2G2A2350 2G2A2360


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


#WazoLaDefxtro #DefQuotes 2nd July 2015

Sarafina! Will be shown at ZIFF with starring actress LELETI KHUMALO coming to the festival.

$
0
0

Leleti Khumalo

In summer 1976 people are angry in South Africa’s townships. Especially in Soweto, the largest slum in the southwest of Johannesburg, the tensions grow. Since decades, black South Africans suffer from the racist apartheid system that has installed the white minority government. But in recent weeks, the anger has built up particularly in schools. According to the White government Afrikaans, the language of the Boers, shall become the official teaching language. This is a humiliation for the black population, which usually only speaks English in addition to their numerous tribal languages.

In the middle of the events that take place on 16th June 1976 stands Sarafina (Leleti Khumalo), who inspires her peers to rise up in protest. The young black South African has remained relatively silent in her opposition of the racist government in her country. But now the movement to make the language of Afrikaans the official language in her school leads her to protest in the streets with her fellow students. Her anti-government views become even more intense when her favorite teacher Mary Masembuko (Whoopi Goldberg) is arrested for protesting.

The film Sarafina! was shot on location in Soweto and Johannesburg, South Africa. Darrell Roodt directed, with the script by Mbongeni Ngema and William Nicholson. It was first shown in 1992 and re-released in South Africa on 16 June 2006 to commemorate the 30th anniversary of the Soweto uprising in Soweto. For US-actress, comedian and talk show host Whoopi Goldberg the film was a labor of love. She convinced the executives at Disney to produce Sarafina!

At ZIFF the film will be shown in conjunction with the theme of From Selma to Soweto in commemoration of the civil rights movements in the Black world, and starring actress Leleti Khumalo will be present as the Festival Chief Guest!

Special Film - Sarafina


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

MCHAKATO MZIMA WA #2015Dance100 NDIO HUU SASA

$
0
0

11709439_1259582190722863_5647739043509160644_n

Mwaka wa nne sasa na tumeona mabingwa wakubwa wakudance walio toka kwenye mashindano haya makubwa ya dance 100%. Mabingwa kama : T – Africa, The chocolate, Wakali Sisi

Wana mpo tayari kwa kuwa mabingwa wa dance 100% mwaka 2015??? basi sasa hii ndio zamu yako….….

Jipangeni wewe na wenzio, unda kundi la watu 5 hadi 8 na muanze kupiga tizi kwa kujianda na Dance mia mia…

Kujua lini mchakato mzima unaanza, basi tupia macho yako kwenye runinga yako ya East Africa Television (EATV) na kusikiliza East Africa Radio kila siku.


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Kumbe msanii CHRISTIAN BELLA ndiye aliyempa mwamko LINAH arudi kwenye uimbaji, soma zaidi hapa

$
0
0

Linah2

Msanii Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa katika wimbo wake mpya ambao amefanya na Christian Bella ilibidi afute mistari yake ili kwenda sawa na Christian Bella baada ya kuona amefunikwa katika wimbo huo na mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Nashindwa’.

Linah Sanga alidai kuwa mwanzo kabisa wimbo wake wa Hello alifanya na mwanamuziki Khadja Nitto lakini baadhi ya wadau walimshauri kuwa angefanya na mwanamuziki wa kiume hivyo wadau hao walimpendekeza Christian Bella afanya wimbgo huo.

Msanii Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa katika wimbo wake mpya ambao amefanya na Christian Bella ilibidi afute mistari yake ili kwenda sawa na Christian Bella baada ya kuona amefunikwa katika wimbo huo na mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Nashindwa’.

Linah Sanga alidai kuwa mwanzo kabisa wimbo wake wa Hello alifanya na mwanamuziki Khadja Nitto lakini baadhi ya wadau walimshauri kuwa angefanya na mwanamuziki wa kiume hivyo wadau hao walimpendekeza Christian Bella afanya wimbgo huo.

Mwanzo nilikuwa namuogopa Christian Bella sababu ni mwanamuziki mkubwa na nilikuwa najiuliza namuanzaje na nitamuingiaje, ili kufanya naye hiyo kazi hivyo nilitafuta namba yake nikawasiliana naye na alikubali kufanya kazi na mimi, nakumbuka siku ambayo mimi nilikuwa nimesafiri Imma ze boy alinipigia simu na kunipa taarifa kuwa Christian Bella alikuja studio kufanya ile kazi ambayo tulikuwa tumekubaliana kufanya hivyo nilikuwa na furaha sana kupata taarifa hizo.

“Niliporudi na kusikiliza ile kazi kweli nilikuwa nimefunikwa kabisa, na baadhi ya watu waliosikiliza kazi ile nao waliniambia kuwa nimefunikwa sana hivyo nilichokifanya nikarudia upya kufanya ile kazi hivyo unaposikia Hellow ya sasa si vitu nilivyokuwa nimeimba kwa mara ya kwanza.” Aliongeza Linah

HABARI HII IMETOLEWA NA EATV.TV


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

NEWS: Mwigizaji mkongwe nchini BI HINDU ameteuliwa kuwa kiongozi wa SIMBA SC, soma zaidi hapa

$
0
0

Bi-hindu-559x520

Mtangazaji wa 100.5 Times fm Bi Chuma Suleimani a/k/a Bi Hindu ameteuliwa kuwa Mwanamke pekee katika Baraza jipya la wazee la klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC lililotangazwa na kamati ya utendaji ya Simba.

Bi Hindu anaungana na wazee wengine wa kipindi tangu Simba inaitwa Sunderland, Omary Mtika (Mwenyekiti), Ally Hassan, Abdulsharif Zahoro na Omary Moshi.

Akizungumzia uteuzi huo Bi Hindu ambaye husikika kila siku za Jumatatu – Alhamis saa sita mchana mpaka saa kumi kwenye kipindi cha Mitikisiko ya pwani (Timesfm), amesema kuwa amefurahia uteuzi huo na ameahidi kuendelea kujitolea kwa mapenzi yake yote kuijenga klabu hiyo.

“Aveva ana busara na akili ameona haitowezekana kuendesha jambo peke yao bila ya wakongwe ambao wapo ndio kama sisi tuloitumikia kitambo, nawapongeza sana Mwenyezi Mungu awabariki sana na nafurahi sana lakini kubwa akili zao nafuu zao na raha yangu mimi Tukutane Oktoba”, alisema Bi Hindu.
Uteuzi wa Bi Hindu pamoja na wazee wengine umekuja mwaka mmoja tangu uongozi mpya wa Simba chini ya Rais Evans Elieza Aveva uingie madarakani mwezi june mwaka 2014.

Hongera sana Bi Chuma Suleiman Bi Hindi Bibi wa Mcharazo wa Bi Mkubwa kwa hatua hiyo.

HABARI HII IMETOLEWA NA www.timesfm.co.tz


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

Viewing all 784 articles
Browse latest View live