Mh Lowassa awasili Geita kwa Kishindo, adhaminiwa na wana CCM 3,000
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya...
View ArticleMAPENZI YAMEROGWA ya WEMA SEPETU (@wema_sepetu) iko madukani kote Tanzania nzima
Kata kiu yako kwa kununua nakala halisi ya movie ya MAPENZI YAMEROGWA iko madukani kote Tanzania nzima….unataka kuona ubabe wa Mboto ulivyomtoa jasho wema sepetu??unataka kuona casting director Aunty...
View ArticleTimu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia...
Timu ya taifa ya wanawake ya England imeanza vibaya mashindano ya kombe dunia kwa upande wa wanawake yanayoendelea nchini Canada, kwa kukubali kipigo cha bao moja kwa yai viza kutoka kwa Ufaransa...
View ArticleMsanii JOSE CHAMELEONE (@JChameleone) safari hii anakuja na #BWERERE
Msanii mkongwe kutokea nchini UGANDA muda mfupi uliopita kupitia account yake ya Instagram ameshare na sisi picha ambayo inahashiria ujio wa wimbo wake mwingine mpya alioupa jina la BWERERE. Mimi na...
View ArticlePHOTO’S: Kinywaji cha TWIST chazinduliwa leo DAR ES SALAAM
Kinywaji kipya cha Kilimanjaro Twist Orange Flavoured Light Beer ALC 2% VOL kimezinduliwa mchana wa leo katika fukwe za Azura Beach Club. Hizi ni baadhi ya picha nilizokuwekea wakati uzinduzi...
View ArticleNEWS: Waliokufa kutokana na MERS sasa wamefika 18
PICHANI: Watoa huduma za afya nchini Korea Kusini wakijikinga na maambukizi ya ugonjwa wa MERS uliosababisha vifo vya watu 18 Korea Kusini imesema watu watatu wamefariki duniani kutokana na ugonjwa wa...
View ArticleSauti Sol (@SautiSol) Nominated for Best Group & Best Song (SURA YAKO) at...
Kenyan group: Sauti Sol (Best African Act 2014 MTV EMA Winners) has been nominated at the 2015 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 (MAMA) in two categories: Best Group in Africa and Best Song...
View ArticleUnaambiwa hii ndio nchi ambayo haijafanya mitihani ya kidato cha nne ndani ya...
Zaidi ya wanafunzi elfu 70 walifanya mitihani ya kidato cha nne katika maeneo ya kusini na kati mwa Somalia, ikiwa ni mitihani ya kwanza ya kitaifa katika kipindi cha miaka 25. Mitihani hiyo...
View ArticlePICHA: DIAMOND (@diamondplatnumz) apewa zawadi ya gari kutoka kwa mchumba...
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleNEWS: Msanii BEN POL anasurika na kifo cha maji, huu ndio ujumbe aliouandika...
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticleKutoka INSTAGRAM hizi ndizo picha DIAMOND alizoshare na sisi baada ya...
Last Night when we Arrived in Lagos… #NanaMediaTour #LoveBoatMediaTour #MtvRoadToMama #IAmAreason thanks alot @iam_kcee and the Whole #5StarMusic Crew for the Major Hospitality A video posted by Chibu...
View ArticlePICHA ziko hapa za NANA MEDIA TOUR NIGERIA anayoifanya DIAMOND...
Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
View ArticlePICHA: KIZAA ZAA BAGAMOYO ALIYEDHANIWA MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA!
KIZAA ZAA BAGAMOYO MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA! Hospitali ya wilaya Bagamoyo ilithibitisha kuwa mgonjwa ni mauti ! Jasho lilianza kumtoka na joto kali la mwili ! Maziko hakuna tena ! Bagamoyo,...
View ArticleNGOMA AFRICA BAND KUTINGISHA MAMLING FESTIVAL – AUSTRIA
Mzimu wa Ngoma Africa band kuibukia Mamling Festival Jumapili 5 Julai 2015-Austria Mining City,Austria, Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao...
View ArticleMAJAJI WA BONGO STAR SEARCH WAJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KULA IFTAAR YA PAMOJA
Majaji wa Bongo Star Search kuelekea msimu wa nane wa BSS2015 wamejumuika na watoto Yatima wa kituo cha Chakuwama kilichopo mwenge, Dar Es Salaam na kula Iftaar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadn na...
View Article#WazoLaDefxtro #DefQuotes 2nd July 2015
Follow @defxtro @noizmekah: Ni siku Nyingine Tena #WazoLaDefxtro #ishiukweli #vijanatunaweza #enterpreneurship #TupeniNafasi #BinadamuNiMfanoWaMungu Mara zote Maendeleo Yako yanasubiri Uthubutu wako!...
View ArticleSarafina! Will be shown at ZIFF with starring actress LELETI KHUMALO coming...
In summer 1976 people are angry in South Africa’s townships. Especially in Soweto, the largest slum in the southwest of Johannesburg, the tensions grow. Since decades, black South Africans suffer from...
View ArticleMCHAKATO MZIMA WA #2015Dance100 NDIO HUU SASA
Mwaka wa nne sasa na tumeona mabingwa wakubwa wakudance walio toka kwenye mashindano haya makubwa ya dance 100%. Mabingwa kama : T – Africa, The chocolate, Wakali Sisi Wana mpo tayari kwa kuwa...
View ArticleKumbe msanii CHRISTIAN BELLA ndiye aliyempa mwamko LINAH arudi kwenye...
Msanii Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa katika wimbo wake mpya ambao amefanya na Christian Bella ilibidi afute mistari yake ili kwenda sawa na Christian Bella baada ya kuona amefunikwa katika...
View ArticleNEWS: Mwigizaji mkongwe nchini BI HINDU ameteuliwa kuwa kiongozi wa SIMBA SC,...
Mtangazaji wa 100.5 Times fm Bi Chuma Suleimani a/k/a Bi Hindu ameteuliwa kuwa Mwanamke pekee katika Baraza jipya la wazee la klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC lililotangazwa na kamati ya utendaji...
View Article