Nuru The Light ni msanii wa bongofleva anayeishi nchini Sweden amezungumza na kuelezea jinsi anavyofanya muziki wake wakati akiwa nje ya nchi na anavyofuatilia muziki wa Bongofleva kipindi akiwa Sweden ambapo amesema nimfuatiliaji sana wa kazi za bongo ikiwemo kujua Vanessa kasign Universal Music Group na ishu ya Diamond kupata mtoto wa nje..msikilize hapa akielezea
SOURCE Millard Ayo
Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates
Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE