Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

TECNO DUDE MKOMBOZI WA WATANZANIA.

$
0
0

Kampuni maarufu ya simu nchini Tanzania Tecno Mobile imeendelea kujali wateja wake wenye vipato vya aina mbalimbali,

Kampuni imetambuulisha sokoni simu mpya maarufu kama TECNO DUDE simu hiyo imekuja kua mkombozi kwa watanzania wenye kipato cha chini waliokua hawana uwezo wa kumiliki simu zenye teknolojia ya kisasa ya kimtandao yenye kasi maarufu kama 4G (fourth generation).

Tecno Dude ni mkombozi kwa watanzania na sasa watamiliki simu zenye uwezo wa kua na mtandao wa kasi kwa bei nafuu.

Tecno wameingiza simu hii mpya sokoni kwa nia na madhumuni ya kuwapa nafasi wateja wao wasio miliki simu zenye uwezo wa kasi ya mawasiliano ya mtandao wa 4g kumiliki simu ya aina hiyo.

Simu hii maalum kabisa yenye uwezo wa juu kabisa   inapatikana kwenye maduka yote nchini ya simu na zaidi imeanza kupatikana sasa katika maonesho ya biashara ya SabaSaba 2017.

Wahi na ujipatie simu hii matata kabisa ambayo ina ubatizo wa jina la “TecnoDude” ukifika dukani wewe sema nipatie TecnoDude , na hapo utakua umekua miongoni mwa watu waliopata kilicho bora, Tecno wanawaambia wateja wao ni muda wa kuwasha dude s lenye mawasiliano ya uwezo kasi ya hali ya juu wa 4G.


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784