Baada ya kufanya kazi na kampuni ya usimamizi wa kazi zake ya Rockstar4000 kwa takribani miaka 6, usiku wa jana King Kiba alitangazwa rasmi kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni ya Rockstar4000.
______
Alikiba sasa anakuwa sehemu ya wasanii waliochini ya Rockstar4000 pia anakuwa Director of Music n Talents.
Rockstar Television inajishughulisha na utengenezaji wa vipindi vya mastar tofauti kutoka nchi mbalimbali na kuvisambaza katika vituo vya Television vya kimataifa.
Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates
Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE