Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward hatimae amekamilishiwa kitita chake kiasi cha shilingi Milioni 2 aliyokuwa akiidai Kamati ya Miss Tanzania, kufuatia kushinda taji hilo miezi mitano iliyopita. Zawadi hiyo imetolewa na Mmoja wa Wadhamini wa shindano hilo, ambao ni Kampuni ya Uuzaji wa vito vya thamani ya Gift Jewellers nyenye maduka yake ndani ya City Mall, Jijini Dar es salaam.
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE