Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

(News) DAYNA NYANGE anyakuwa TUNZO mbili kutoka NIGERIA.

$
0
0

Kupitia account yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva DAYNA NYANGE alipost kitu kizuri kwa mashabiki wake.

NAMNUKUU “Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru wotee🙏Mliokesha mkiniombea, mlikesha mkihamasisha, mlikesha mkinipigia kura. Hatimaye tumefanikiwa kutwaa tuzo zote mbili nchini Nigeria.
BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE
BEST AFRICAN ARTISTE
Ahsanteni sana mashabiki zangu , ahsanteni sana Wadau wangu, ahsanteni sana Media zote, watangazaji, waandishi, na ma dj. Ahsante sana producer wangu @mrttouchez shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu.
Sote tuliacha kazi na tukafanya kazi moja tu na hatimaye Matunda ni haya.🏆Sijashinda mimi tu @daynanyange bali imeshibda Tanzania na Afrika kwa ujumla
#JuhudiZimezaaMatunda💃🏻
Mungu awabariki sana🙏🙏🙏


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles