Usiku wa March 24th 2017 familia ya msanii wa bongo fleva Mabeste & Lisa ilibahatika kupata mtoto wa pili (Girl) katika hospital ya Masana iliyopo Mbezi Beach (Tangi Bovu). Mabeste hakuweza kunitajia jina la mtoto ataitwa nani.
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE