Kupitia account yake ya Insta Live msanii Diamond Platnumz alikuwa anapiga shopping kwenye mall moja hapa town na hatima kusema anatarajia kutoa album yake mpya kabla ya ile Internation ambayo itakuwa inanyimbo zote za Kiswahili Swahili na haitokuwa na uzungu ndani ya album hiyo.
Pia Diamond aliwaomba mashabiki wake kuingia kwenye website yao mpya ya wasafi.com ili kununua miziki yao pendwa kutoka WCB, aliendelea kwa kusema website hiyo inanyimbo zote za wasanii wa WCB pamoja na video zao.
http://wasafi.com
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE