Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

ROMA: KUJIONDOA INSTAGRAM KUMENIONGEZEA MASHABIKI / FOLLOWERS

$
0
0

ae0a4a82631ebf7fe4e2bce7ce28ea77

Rapa kutoka Tanga Roma mkatoliki amesema kujiondoa kwake #instagram me kumemuongezea #followers ambao anaamini pia ni mashabiki wake.

Roma ameanza kutumia tena account yake ya inster siku 2 zilizopita baada ya kutopost chochote kwa zaidi ya wiki 19.
Kwa mujibu wake ,wakati wote huo alikuwa hajihusishi kabisa na issue za mitandao ya kijamii ingawa hakuwahi kutoa sababu za kina kufanya hivyo lakini ilikuwa kipindi ambacho alikuwa kwenye mipango ya send off ya mama mtoto wake.

Ameiambia #planetbongo ya #earadio kuwa wakati anaondoka IG alikuwa na followers chini ya 290k lakini kwasasa ana followers 327k.

Hata hivyo ameonya msanii kuacha kutumia mitandao ya kijamii kunaweza kumuathiri kulingana na kile anachofanya baada ya kuacha kuwasiliana mashabiki wake mtandaoni.
Cc
#leproducer @graysongideon


Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE

 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Latest Images

Trending Articles



Latest Images