Ijue vizuri simu yako ya mkononi.
Asilimia kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi nchini na duniani kwa ujumla wanatumia simu zenye Android. Mfano mzuri wa simu hizi ni Huawei Y360 zinazouzwa kwa ushirikiano wa Tigo na Huawei. Lakini je...
View ArticleIpi kali? Bundesliga, Serie A au Premier League.
Mchezo wa soka ndio wenye mashabiki wengi zaidi duniani. Kati ya mashindano makubwa yanayopendwa zaidi ulimwenguni ni ligi mbalimbali zinazochzwa barani Ulaya. Kwa nafasi yako, je ni ipi ligi kabambe...
View ArticleJinsi ya kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android.
Kama ni mtumiaji wa simu za Android (kama mimi) lazima umekwisha kutana na jambo hili. Mara kwa mara simu yako itakupa ujumbe kuwa imejaa. Kinachosababsha simu yako kujaa mapema si simu bali ni program...
View ArticleMatangazo mtandaoni. Mbinu mpya ya kuwafikia wateja wengi zaidi.
Kwa wiki nne mfululizo tumekuwa tukikuwekea hapa baadhi ya Makala kuhusiana na simu ya Huawei Y360 inayouzwa kwa ushirikiano kati ya makampuni nguli ya mawasiliano nchini, Tigo na Huawei. Sababu kubwa...
View ArticleDIAMOND amechukuwa tuzo nyingine kutoka #MTVEMA
Hii good news imekuja siku chache baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA 2015 ambazo zilitolewa Dallas Texas Marekani ambako Diamond Platnumz alishinda tuzo tatu. Sasa kupitia twitter page ya MTV BASE...
View ArticleKinachoendelea kwenye mashindano mbalimbali ya mpira wa miguu barani Ulaya.
Barani Ulaya, ligi mbalimbali za soka zinaendelea. Nchini Ujerumani, Bundesliga inaendelea, Italia Serie A imepamba moto na huko Uingerza Premier League haikamatiki. Hapa chini ni ratiba za michuano...
View ArticleDIRA YA DUNIA JUMANNE 20.10.2015
Ungana na Zuhura Yunus na Salim Kikeke kupata habari, maelezo, uchambuzi, maoni na michezo katika Dira ya Dunia ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC Twitter: @chokadj @djchokatv Instagram: @djchokatv...
View ArticleBhits New Release (OCTOBER 2015)
Hello Friends, The Kids of District 9ine decide to pay respect to god given “morphology” of a certain friend. The fashion they use is so ever very artistic to some point it becomes comical. Uno how...
View ArticleKleyah Ft Barnaba – Msobe msobe
Kleyah is a Ugandan born song writer and recording artist currently living in Tanzania. She holds a Degree in Communications from University of Phoenix in USA and will be completing her Master’s...
View ArticlePROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA “BEST PROMOTER” MAREKANI
Ndugu Dickson anayefahamika kwa wengi kama Mr “DMK ” Promoter “DMK” wa Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTIONS ashinda Tuzo ya Best Promoter USA katika zile tuzo za AFRICAN ENTERTAINMENT AWARDS USA 2015...
View ArticleICE PRINCE RELEASES “BOSS” MUSIC VIDEO SHOT IN NAIROBI & LAGOS
East meets West as Nigerian artiste Ice Prince Zamani releases the music video of his single: BOSS, shot in Nairobi and Lagos. The video was directed by the acclaimed video director Mr. Moe Omusa....
View ArticleMERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA
Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania. Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor,...
View ArticleNAVY KENZO TRAILBLAZING, NOMINATED FOR NAIJA AWARDS, TOPPING CHARTS ACROSS...
African (Tanzanian based) hit maker duo Navy Kenzo, composed of songstress Aika and Producer Nahreel have been nominated for best group at the Top Naija Music Awards that will take place on the 26th...
View ArticleNEWS: DKT REGINALD MENGI KUISADIA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo...
View ArticleJameson yaandaa pre-party George and Dragon Dar kuelekea Jameson Live Party...
Mshindi mmoja kujishindia tiketi ya watu wawili kwenda Kenya kwenye party ya Jameson itakayotumbuizwa na B.O.B Dar es Salaam, Tanzania, 19th November 2015: Jameson inaandaa pre-party itakayofanyika...
View ArticleSAUTI SOL (@SautiSol) RELEASE ALBUM ART WORK “LIVE AND DIE IN AFRIKA”
Just crowned winners of the Best African Group & Producer of The Year (Sura Yako) at the AFRIMA Awards in Nigeria, Sauti Sol, the Kenyan group, have finally unveiled the album cover and track list...
View ArticleVanessa Mdee Wins Big at AFRIMA!
Hit maker Vanessa Mdee, aka Vee Money, for the second year running wins an All Africa Music Award (AFRIMA) in Lagos, Nigeria. This time for the Best African Pop song. The accolade was for last year’s...
View ArticleRC KILIMANJARO, AMOSI MAKALA AKUTANA NA MAOFISA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo...
View ArticleNEWS: NAVY KENZO (@NavyKenzo) WAFANYA COLLABO NA KUNDI KUTOKA GHANA
Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na producer na muimbaji pamoja na mwimbaji Aika hivi karibuni walikuwa nchini South Africa walikoenda kutumbuiza mbele ya maelfu katika tamasha la African Music Concert...
View ArticleHAKIELIMU YAZINDUA JOPO LA WASHAURI MABINGWA
Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwa Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu...
View Article