Mara nyingi inatokea kwa wasichana wanaotaka maisha mazuri na kujikuta wakiingia kwenye mtego wa matapeli wanaowachukua wasichana hao kwa ahadi ya kufanya kazi nje ya nchi na mwisho wake wanaishia kuuza miili yao kujikimu.Wengine wanakuwa na uelewa kabisa juu ya kile wanachofanya…Prety kind ni mmoja wa wasichana hao wa kitanzania waliopitia hayo na anatuelezea kilichotokea….
SOURCE WAZO TV
Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates
Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE