John Gilbert Magembe ni mtoto wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 11, mwenye kipaji cha kuimba nyimbo za injili na kupiga kinanda, ambapo wazai wake walimwambia kuwa alianza kuimba akiwa na umri wa mwaka mmoja na nusu, japo kwa sasa hakumbuki chochote ambacho alikuwa akikifanya akiwa na umri huo wa mwaka mmoja na nusu. Kipaji cha kupiga Kinanda kilianzia pia akiwa na umri mdogo, na alikuwa akifundishwa na baba yake mzazi kwa kutumia kinanda kidogo kilichokuwa nyumbani kwao ambapo baadaye kikaharibika. Baba yake akaamua kumtafutia mwalimu na akamnunulia Kinanda kingine ili kuendeleza kipaji cha mwanaye
SOURCE Global TV Online
Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates
Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE