Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

DIAMOND AZINDUA BIASHARA HII YA KARANGA.

$
0
0

Am glad to inform you that today have launched my new Product called @DiamondKaranga  which will be available in East Africa for 300/= Tanzanian Shilling retail Price and 20,000/= Wholesale Price …..
(Leo nimezindua Bidhaa yangu mpya iitwayo @Diamondkaranga ambayo itakuwa inapatikana Madukani kote Africa Mashariki nzima kwa shilingi miatatu tu (300/=) bei ya rejareja kwa pakiti moja… na shilingi elf ishirini (20,000) kwa boksi moja lenye pakiti Mia moja (100) ndani ambazo ukiuza unapata faida ya elf kumi… Karanga hizi nazinunua kwa wakulima kutoka mikoa ya DODOMA, MTWARA, TABORA n.k…. kisha kuziongezea njonjo na kuzipakia katika pakiti za kisasa, ili mtu mwenye hadhi yoyote aweze kutembea nazo popote atakapo… ) usiseme tena Karanga sema DIAMOND KARANGA!!!!


Twitter: @chokadj @DJChokaUpDates

Instagram: @ChokaDJ @DJChokaUpDates  @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles