Hii ni show mpya kabisa ambayo imeanza leo na itakuwa inakujia kila Ijumaa kupitia E-FM 93.7, show hii itakuwa ikiendeshwa na watangazaji wawili ambapo yupo SSEBO na KANKY (Joto La Asubuhi). Ndani ya show hii kuna segment inayoitwa KABALI ambayo itakuwa ikiwafanyiwa interview ma celebrity maswali na wao kujibu NDIO au HAPANA sasa Ijumaa ya leo tuko na Manager wa Diamond Plantinumz (Babu Tale) na hivi ndivyo alivyokuwa akiyajibu maswali ambayo alikuwa akiulizwa na Ssebo, ENJOY
Twitter: @chokadj
BBM 7E3B1D4C
WhatsApp +255 755 164282
Facebook Fans Page: DJ CHOKA
Instagram: @chokadj OR @djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE