Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

PARTY WITH BAABKUBWA

$
0
0

10378142_1527744004133840_300154075870328705_nJarida linaloongoza Bongo kwa mastori ya kufa mtu ‘Baabkubwa Magazine’ kwa kushirikiana na kampuni ya Drimz wanakuletea bonge moja la party linaloitwa ‘Party With Baabkubwa’ ambalo litahudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo.

Mbali na mastaa kutakuwa na mashindano ya wasanii wanaoimba na kuchana wanaosoma vyuo vikuu na winnerz watapata very Big Deal ikiwemo ku-record singoz matata kwa Lamar wa FishCrab Audio Station.

Kwa mdada na mkaka watakaotoklezea na swagga za ukweli watapata gift bomba from duka bora la nguo in the city la Street Soul.

Mtonyo wa mlangoni ni sh 10,000 na watu 50 wa mwanzo watapata pia mazawadi ya ukweli, hayo ni machache tu mengi yata-happen Club Sun Cirro, Sinza, tarehe 1/ 11/ 2014 siku ya Jumamosi.

Be there or be squared… njoo u-dance mpaka udondoke!!!


Twitter: @chokadj

BBM 7E3B1D4C

WhatsApp +255 755 164282

Facebook Fans Page: DJ CHOKA

Instagram: @chokadj OR @djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles