Linah na Queen wakichukua picha ya kumbukumbu
Kabla ya kuingia kwenye darasa la kuzungumza na wanafunzi walipita kwanza ofisi ya mwalimu wa Academic kupata maneno mawili matatu
Pichani kuanzia kushoto ni mke wa msanii Shetta Mama Qaylah, Kajala, Linah, Queen Darling, Aunt Sadaka, Shilole na Mwasiti. Hawa ndio moja ya waanzilishi wa kampeni hii ya SISTERS kwa kutoa semina kwa wanafunzi wa kike kwenye mashule ya Secondary kuanzia kidato cha 3 hadi cha 6 na leo walianza kampeni yao kwa Secondary ya Mbezi Beach High School. Kauli mbiu yao wanasema BINTI WA LEO MWANAMKE WA KESHO
Shughuli ikaishia kwa msanii Shilole kutoa burudani kwa wanafunzi hao wa Mbezi Beach High School
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE