Quantcast
Channel: News – eNCA Online TV
Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

MZIWANDA AMESEMA SHILOLE ANAMFANYIA FITNA ILI ASHUKE KIMUZIKI.

$
0
0

NUH-SHISHI

Baada ya kuvunjika kwa mahusiano yao aliyekuwa mpenzi wa SHILOLE,bw.Nuhu Mziwanda amesema Ex wake huyo anamfanyia fitna ili kumshusha kwa kumharibia kisanaa.

Mziwanda amesema sasa ndiyo amegundua kuwa Shilole alikuwa kwake kimapenz tu na hakuwa na urafiki wwte na ndyo maana anadiriki kufanya hivyo Siku chache tu baada ya kuachana.

Akifafanua zaidi amesema Shilole ameingia kwenye account yke ya instergramme na kubadilisha password kiasi kwamba licha ya kujaribu kwa wataalamu wa teknolojia bado hajaweza kuirejesha.
Pia amesema Shilole amekuwa akisambaza maneno ya kashfa kwa Watu wake wa karibu ili kumharibia sifa yake na kumpotezea mashabiki.

Nuhu amefuta #tatoo ya Shilole na amesema amefanya hvyo baada ya kugundua mtu mwenyewe kumbe hatakii mema.

KUHUSU PENZI JIPYA.
nuhu amesema tayari ameshapata mpenzi lakini amejifunza mambo ya mapenz siyo ya kuyaanika mitandaoni na amegundua ule ulikua utoto na sasa hawezi kurudia tena.

Cc #leproducer @graysongideon


 

Twitter: @chokadj @djchokatv

Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic

Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic

Download DJChokaMusic Android Application Click HERE


Viewing all articles
Browse latest Browse all 784

Trending Articles