Tanzanian and East African Reggae Musician Malfred has dropped a new song Audio and Video yesterday titled “NAJARIBU”
The Reggae artist does this following the hit song Poyoyo,Kwanini ft Denzo International,and Twajiachia with Mzungu Kichaa.
Najaribu (I’m trying) is a love song that describes a person who is committed
To his/her girlfriend/boyfriend. despite the fact that he show true love to this person
He/she does not care even though he try his best to endure the problem,in the end,
All he can do is to leave with a broken heart.
The video shot in Uganda and directed by SPK FILMZ nextedition
Najaribu ni wimbo wa mapenzi unaoelezea mtu ambae ametendwa kimapenzi au
Anatendwa kimapenzi,Licha ya kumuonyesha mapenzi ya dhati mtu huyo,yeye hajali,
Unajitahidi kuvumilia matatizo yake ukijua atajirekebisha mwishowe unashindwa
Na unabaki na maumivu moyoni.
Video ya wimbo huu imeshutiwa Ugannda na muongozaji SPK FILMZ nextedition
Youtube Link: https://youtu.be/FwaRBePs9Xo
Download ‘Audio link:https://mkito.com/song/najaribu/18128
For more information
Facebook: https://www.facebook.com/malfredtz
Twitter: http://www.twitter.com/malfredtz
Instagram: https://www.instagram.com/malfredtz
Arist Malfred.
Song Najaribu.
Intro….
Uye uye eeeh, Uye, Aaahhh–
CHORUS 1:
Numia moyoni nipo njiani peke yangu
Mumivu ya rohoni hakuna awezae kuyafuta
LAST PART ooooh
Reapt x2
VERSE 1:
Najaribu kujenga picha toka mwanzo nilipo kutana na wewe
Maumivu kwenye zangu fikra nikiwaza kipi nilicho kuficha wewe
Sikudhani ungebadilika
kwa vile akili yangu uliiteka
Nilikubali kuwa wako mateka aah
Uuuuuuu….
REAPT CHORUS 1:
VERSE 2:Sio kwamba nilipenda tuachane
Ilifika sehemu ikabidi niseme
Maumivu yako nilishindwa vumilia
Mapenzi yetu uliyafanya mazoea
Nilipenda pale uliponiomba msamaha
Ulipojua kweli hapa umekosea
Lakini mbona ulizidi kuyarudia
Na nikisema eti nakufokea
REAPT CHORUS 1:
LAST CHORUS with ad lib:
Eeeh.. Nipo njiani.. Hakuna awezaye kuyafuta.. Oooh.. Nipo njiani… Mmmh
Hakuna awezaye kuyafuta ooooh oooh.
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Facebook Fans Page: https://www.facebook.com/djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE