Steve Nyerere mchekeshaji na mwigizaji kutoka Bongo Movie anayependwa na mashabiki wengi hapa East Africa, ameshare na DJChokaMusic picha za magari yake makali anayoendesha hapa Town.
Hebu mfuatilie maisha yake anayoishi kila siku kupitia account yake ya Instagram anatumia hii https://instagram.com/stevenyerere2/