Tangu wimbo wetu “Don’t cry”, mimi nia Makamua tumetaka kufanya kazi pamoja tena. Sasa tunajiandaa kutoa wimbo wetu mpya! Wimbo unaitwa Tuongee na production imefanikiwa na Legendary music. Sasa hivi Director Raymond Kasoga toka The dream studio anamaliza kazi ya editing.
Artist: Makamua ft. SaRaha
Song: Tuongee
Production: Legendary music
Director: Raymond Kasoga, The dream studio
Sara Larsson
Twitter: @chokadj @djchokatv
Instagram: @djchokatv @chokadj @djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE