AFRIMA Awards 2014 zilizokuwa zikifanyika jana December 27 Lagos, Nigeria zimeonyesha dalili njema ambapo Vanessa Mdee ‘Vee Money’ alifanikiwa kuibuka mshindi wa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika Mashariki, Diamond Platnumz akashinda Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki.
Pichani ni msanii wa Bongo Fleva anajulikana kwa jina la PETER MSECHU, yeye ndio aliyembebea Diamond tuzo hii na Diamond hakusita kutoa shukrani zake kupitia account yake ya Instagram, Namnukuu
“Thank you so much Afrima Awards… thank you so much my die hard fans for your votes… thank you so much my brother @Peter_Msechu kwa kunipokelea…. #BestMaleEastAfrica #AsanteBaba“
Twitter: @chokadj
Facebook Fans Page: DJ CHOKA
Instagram: @chokadj OR @djchokamusic
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE